JADI YETU ni jamii ya watu walio na lengo la kupata mafundisho ya elimu ya JADI inayotolewa na ROW WOMINIGE WA 786, ambaye ndie MWAMI LOKOKO. Kila mtu ana AKILI, ila SIO KILA MTU ANA AKILI TIMAMU. Ili mtu awe na AKILI TIMAMU, inampasa ajue UKWELI HUU.